Competition in this pair is now closed, and the winning entry has been announced. Discussion and feedback about the competition in this language pair may now be provided by visiting the "Discussion & feedback" page for this pair. Entries may also be individually discussed by clicking the "Discuss" link next to any listed entry. Source text in English A theme of the age, at least in the developed world, is that people crave silence and can find none. The roar of traffic, the ceaseless beep of phones, digital announcements in buses and trains, TV sets blaring even in empty offices, are an endless battery and distraction. The human race is exhausting itself with noise and longs for its opposite—whether in the wilds, on the wide ocean or in some retreat dedicated to stillness and concentration. Alain Corbin, a history professor, writes from his refuge in the Sorbonne, and Erling Kagge, a Norwegian explorer, from his memories of the wastes of Antarctica, where both have tried to escape.
And yet, as Mr Corbin points out in "A History of Silence", there is probably no more noise than there used to be. Before pneumatic tyres, city streets were full of the deafening clang of metal-rimmed wheels and horseshoes on stone. Before voluntary isolation on mobile phones, buses and trains rang with conversation. Newspaper-sellers did not leave their wares in a mute pile, but advertised them at top volume, as did vendors of cherries, violets and fresh mackerel. The theatre and the opera were a chaos of huzzahs and barracking. Even in the countryside, peasants sang as they drudged. They don’t sing now.
What has changed is not so much the level of noise, which previous centuries also complained about, but the level of distraction, which occupies the space that silence might invade. There looms another paradox, because when it does invade—in the depths of a pine forest, in the naked desert, in a suddenly vacated room—it often proves unnerving rather than welcome. Dread creeps in; the ear instinctively fastens on anything, whether fire-hiss or bird call or susurrus of leaves, that will save it from this unknown emptiness. People want silence, but not that much. | The winning entry has been announced in this pair.There were 10 entries submitted in this pair during the submission phase, 4 of which were selected by peers to advance to the finals round. The winning entry was determined based on finals round voting by peers.
Competition in this pair is now closed. | Kauli mbiu katika karne hii angalau katika nchi zilizoendelea ni kwamba watu wanatamani kupata utulivu ila hawawezi kuupata. Kelele za magari barabarani, mikirizo isiyoisha ya simu, matangazo ya kidijitali ndani ya mabasi na magari ya moshi, Televisheni zinazowashwa hata katika ofisi ambapo watu hawapo, ni matatizo makubwa na vurugu isioisha. Binadamu wanajiangamiza wenyewe kwa kelele na wanatamani hali iwe tofauti-iwe porini, baharini au katika sehemu maalum zilizotengwa kwa ajili ya utulivu na umakinifu. Msomi wa historia, Alain Corbin anaandika akiwa mafichoni katika eneo la Sorbonne, naye Mtafiti kutoka Norwei, Erling Kagge kutoka katika kumbukumbu zake za the wastes of Antarctica, ambapo wote wamejaribu kutorokea. Na bado, anavyoeleza Bw. Corbin katika makala ya "A History of Silence", huenda sasa hakuna kelele tena kama ilivyokuwa hapo zamani. Kabla ya kuja kwa magurudumu ya magari ya kujazwa pumzi, barabara za jiji zilijawa na kelele za magurudumu za chuma na kelele za vyuma walivyovalishwa farasi wakikimbia kwenye mawe. Kabla ya kuja kwa simu za mkononi zilizosababisha watu kujitenga, mazungumzo yalishamiri ndani ya mabasi na magari ya moshi. Wauza magazeti hawakupanga bidhaa zao na kutulia tu ila walizitangaza kwa kupaza sauti sana na wauza matunda mbalimbali na samaki vilevile hawakuachwa nyumba. Sehemu za maonyesho ya sanaa zilijawa vifijo na nderemo za mashabiki kushangilia na kusuta. Hata katika maeneo ya mashambani, wakulima waliimba wakifanya kazi zao za sulubu. Siku hizi hawaimbi tena. Kilichobadilika sio hasa kiwango cha kelele, ambacho wanajamii katika miongo iliyopita pia walilalamikia ila ni kiwango cha vurugu ambacho kimechukua nafasi ambayo huenda ingechukuliwa na hali ya utulivu. Kunatokota hali ya kinaya tena kwa sababu iwapo utulivu utakuwepo-katika kina chake halisi, katika sehemu zenye upweke, katika chumba kilichohamwa ghafla-mara nyingi huwa ni hali isiyo ya faraja badala ya kuwa ya hali ya kukumbatiwa. Hali ya uwoga huingia; masikio yanamakinikia kitu chochote kile, uwe ni mwenge wa moto unaowaka au michirizi ya sauti ya ndege au miluzi inayotokana na upepo unapopeperusha matawi ya miti hali itakayoyaondolea masikio upweke usiojulikana. Watu wanataka utulivu lakini sio utulivu kupita kiasi. | Entry #22583 — Discuss 0 — Variant: Kenyankenyswa
Winner Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
42 | 10 x4 | 1 x2 | 0 |
Rating type | Overall | Quality | Accuracy |
---|
Entry | 3.54 | 3.54 (13 ratings) | 3.54 (13 ratings) |
- 4 users entered 4 "like" tags
- 1 user disagreed with "likes" (1 total disagree)
kupata utulivu | Good term selection | Ngunga Tepani No agrees/disagrees | |
Binadamu wanajiangamiza wenyewe kwa kelele na wanatamani hali iwe tofauti-iwe porini, baharini au katika sehemu maalum zilizotengwa kwa ajili ya utulivu na umakinifu. | Flows well The truth that is happening in the current world. | Shabdin Abwasi No agrees/disagrees | |
-1 1 akiwa mafichoni katika eneo la Sorbonne, | Good term selection good translation of concept(not literal) | samuel muiruri | |
- 5 users entered 30 "dislike" tags
- 2 users agreed with "dislikes" (9 total agrees)
- 2 users disagreed with "dislikes" (7 total disagrees)
-1 +1 1 Kauli mbiu | Mistranslations Theme means mada (topic) or Gumzo Not Kaulimbiu which means motto | George Mwidima Kihanda | |
angalau | Mistranslations It should hata katika nchi zilizoendelea, or kwa kiasi kidogo katika nchi zilizoendelea, angalau is never used, incorrect diction | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
-1 1 magari ya moshi | Spelling magarimoshi | James Lue | |
-1 1 iwe tofauti | Mistranslations kinyume chake | James Lue | |
ambapo | Mistranslations 'mahali ambako' | James Lue No agrees/disagrees | |
-2 +1 2 huenda sasa hakuna kelele tena kama ilivyokuwa hapo zamani | Mistranslations | Richard Lango | |
pumzi | Mistranslations Pumzi is for breathing for living organisms not tyres: It should be hewa (air) | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
Kabla ya kuja kwa simu za mkononi | Mistranslations Kabla ya watu kujitenga kwa hiari kupitia simu za mkononi | James Lue No agrees/disagrees | |
sana | Spelling 'sawa' | James Lue No agrees/disagrees | |
vilevile hawakuachwa nyumba | Spelling Not in the source | James Lue No agrees/disagrees | |
nyumba | Spelling Should have been "nyuma" | Richard Lango No agrees/disagrees | |
vifijo na nderemo | Mistranslations Not translation of 'chaos' | James Lue No agrees/disagrees | |
miongo | Mistranslations karne | James Lue No agrees/disagrees | |
Kunatokota | Mistranslations Not meaning of 'loom' | James Lue No agrees/disagrees | |
kinaya | Spelling Does paradox means an inequality? Kinaya means without equality: Paradox means inconsistency: Kutoendana sawa | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
utakuwepo | Spelling It should utakuwapo NOT utakuwepo, In Affirmative form verbs ending in a not e are used. Utakuwa-po = Utakuwa hapo not utakuwe hapo | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
| Mistranslations Mwenge wa moto means Torch/Flame of Fire but here we talk about Fire - Hiss = Fire hiss noise not flame | George Mwidima Kihanda | |
miluzi inayotokana na upepo unapopeperusha matawi ya miti | Mistranslations mchakacho wa majani | James Lue No agrees/disagrees | |
upweke | Mistranslations Not in the source | James Lue No agrees/disagrees | |
-1 +1 1 kupita kiasi | Mistranslations 'kiasi hiki' | James Lue | |
| Kauli mbiu ya kizazi hiki, angalau katika ulimwengu ulioendelea, ni kuwa watu wanatamani kimya na hawakipati kabisa. Mngurumo wa trafiki, kukiriza kwa simu kusikokoma, matangazo ya kidijitali katika mabasi na magari moshi, kelele za runinga hata katika afisi zisizokuwa na watu, ni uvurugaji na mapigo yasiyokuwa na mwisho. Wanadamu wanajichosha kwa kelele na wanaishi kutamani kinyume chake -bila kujalisha kama ni mwituni, katika bahari iliyo wazi ama katika maeneo ya mapumziko fulani yaliyo na utulivu na umakinivu. Alain Corbin, Profesa wa Historia anaandika akiwa kambini katika eneo la Sorbonne na Erling Kagge, msafiri na mtafiti raia wa Norway kutokana na kumbukumbu zake za taka za bara la Antarctica ambako wote wawili wamejaribu kutoroka. Na ilhali wakati Bwana Corbin anaeleza katika ''A History of Silence'', kuna uwezekano mkubwa hakuna kelele nyingi kama ilivyokuwapo. Kabla tairi zilizokuwa zikiendeshwa kwa gesi na hewa, mitaa ya miji ilijaa kelele nyingi ya magurudumu yaliyotengenezwa kwa chuma na majembe ya farasi yaliyotengenezwa kwa mawe. Kabla ya rununu kupendelewa, mabasi na magari moshi yalijaa mazungumzo baina ya watu. Wauzaji wa magazeti hawakuacha tu bidhaa zao pamoja tu kwa unyamavu bali waliyatangaza magazeti yao kwa sauti za juu sawia na walivyofanya wauzaji wa cheri, violeti na samaki freshi. Sanaa ya uigizaji na michezo ya kuigiza yalijaa purukushani. Hata vijijini, wakulima wadogowadogo waliimba wakifanya kazi yao ngumu. Hawaiimbi siku hizi. Kilichobadilika hasa si sana kiwango cha kelele, ambazo karne za awali nazo pia zililalamika kuhusu, lakini kiwango cha usumbufu, unaochukua nafasi ambayo kimya chaweza kuteka. Kipo kitendawili kingine kinakuja, kwa kuwa kitakapoteka, ndani kabisa katika msitu wa misonobari , katika jangwa lililo wazi, katika chumba kilicho wazi kighafla -inaonesha ukosefu wa ujasiri zaidi ya kukaribishwa. Hofu huingia, sikio linakazika kwa chochote, bila kujalisha kama ni king'ora cha moto ama mwito wa ndege ama kelele za majani ya mti, vitaokoa dhidi ya utupu huu usiojulikana. Watu wanataka kimya, lakini sio hivyo sana. | Entry #22480 — Discuss 0 — Variant: Not specifiednone
Finalist Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
11 | 1 x4 | 2 x2 | 3 x1 |
Rating type | Overall | Quality | Accuracy |
---|
Entry | 2.96 | 3.18 (11 ratings) | 2.73 (11 ratings) |
- 1 user entered 3 "like" tags
- 1 user agreed with "likes" (2 total agrees)
| Flows well Good word for paradox, thank you. Ukweli kinzani has an attribute of being a kitendawili | George Mwidima Kihanda | |
kelele | Flows well You may adopt and naturalize it by saying susuriko za majani au msusuriko wa majani yaani majani yanasusurika. | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
- 4 users entered 16 "dislike" tags
- 2 users agreed with "dislikes" (8 total agrees)
- 1 user disagreed with "dislikes" (1 total disagree)
angalau | Mistranslations Incorrect diction: It should be kwa kiasi kidogo katika nchi, or hata katika nchi | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
-1 1 kimya na hawakipati kabisa | Syntax ukimya na hawaupati | James Lue | |
trafiki | Mistranslations magari | James Lue No agrees/disagrees | |
mapigo | Mistranslations | James Lue No agrees/disagrees | |
umakinivu. | Mistranslations Does English word concentration mean umakinivu? Why not mkusanyiko or Kukusanyika? Suppose it is a Concentration Camp, can you still translate a place of umakini? Can someone concentrate in his mind at the camp? | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
yaliyotengenezwa kwa mawe. | Mistranslations Which one was made of stones? | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
freshi | Other The term is coined from English | Richard Lango No agrees/disagrees | |
+2 Sanaa ya uigizaji na michezo ya kuigiza yalijaa purukushani. | Mistranslations It should majumba ya kuigiza na michezo ya kuigiza not purukushani | George Mwidima Kihanda | |
Kilichobadilika hasa si sana kiwango cha kelele | Spelling Literal English structure, does not communicate | Bernard Oginga No agrees/disagrees | |
| Gumzo kwa miaka mingi, hata katika ulimwengu ulioendelea, ni kwamba watu wanatamani ukimya na hawawezi kuupata. Muungurumo wa trafiki/foleni za magari, milio isiyokoma ya simu za mkononi, matangazo ya kidijitali katika mabasi na treni, TV zikiwaka hata katika ofisi tupu, ni mlolongo usiokwisha na kumvurugia mtu mawazo. Jamii ya binadamu inajichosha yenyewe kwa kelele na inatamani kinyume chake - iwe porini, au katika bahari pana au katika maeneo mengine yaliyotengwa kwa ajili ya kutulia na kukusanyikia. Alain Corbin, profesa wa historia, anaandika kutoka ukimbizini kwake huko Sorbonne, na Erling Kagge, mchunguzi wa Norway, toka katika kumbukumbu zake za taka za Antarctica, ambapo wote wamejaribu kukimbia. Na bado, kama Mr Corbin anavyoelezea katika "Historia ya Ukimya", labda hakuna kelele zaidi kuliko ilivyokuwa. Kabla ya matairi ya kujazwa upepo, barabara za jiji zilijaa kelele za kupasua masikio za magurudumu ya chuma na viatu vya farasi kwenye jiwe. Kabla ya kujitenga kwa hiari kwenye simu za mkononi, mabasi na treni zilijawa na mazungumzo. Wauza-magazeti hawakuacha vyombo vyao kimya, bali walitangaza kwa sauti ya juu, kama walivyofanya wauza matunda ya cheri, wauza mrujuani na wauza samaki wabichi aina ya bangala. Majumba ya tamthilia na maigizo yalikuwa ni vurugu za vilio na kuzomea. Hata mashambani, wakulima waliimba walipokuwa wakifanya kazi ngumu ya kuchosha. Hawaimbi siku hizi. Kilichobadilika sio kiasi cha kelele, ambazo karne zilizopita pia zililalamikia, bali kiasi cha kumvurugia mtu mawazo yake, ambacho kinachukua nafasi ambayo ukimya ungeweza kuchukua. Hapo linaonekana tatizo lingine kubwa, kwa sababu wakati kimya kinapoingia ndani ya kina cha msitu wa mipaini, katika jangwa tupu, katika chumba kilichoachwa wazi ghafla - mara nyingi huogopesha badala ya kukubalika. Hofu huingia ndani; sikio lenyewe hufunga kwa kitu chochote kile, kuvuma kwa moto au mwito wa ndege au mlio wa majani, kitu ambacho kitaliokoa sikio hilo kutokana na utupu huu usiojulikana. Watu wanataka ukimya, lakini sio kiasi hicho. | Entry #22328 — Discuss 0 — Variant: Tanzaniantanzswa
Finalist Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
8 | 1 x4 | 1 x2 | 2 x1 |
Rating type | Overall | Quality | Accuracy |
---|
Entry | 3.33 | 3.33 (9 ratings) | 3.33 (9 ratings) |
- 3 users entered 11 "dislike" tags
- 4 users agreed with "dislikes" (7 total agrees)
- 1 user disagreed with "dislikes" (8 total disagrees)
-1 1 kwa miaka mingi | Spelling Wrong translation. | James Lue | |
-1 1 na kumvurugia mtu mawazo | Spelling Wrong translation. | James Lue | |
-1 +1 2 kukusanyikia | Spelling Wrong translation. | James Lue | |
-1 +1 1 profesa wa historia, | Spelling Wrong punctuation and capitalization | James Lue | |
-1 1 Antarctica | Spelling Not Swahili spelling | James Lue | |
+1 1 Historia ya Ukimya | Spelling Give the English name of the publication because there isn't a Swahili one. | Bernard Oginga | |
+1 1 sio | Spelling The negation of ni is si, sio is negation of ndio (also different from ndiyo) | Bernard Oginga | |
| Watu hutamani ukimya, bado hawatatizwi na ukimya huo, Mchumi Dhamira ya tangu zamani, angalau katika dunia iliyoendelea, ni kwamba watu hutamani ukimya lakini hawawezi wakaupata. Migurumo ya magari, mikwaruzo ya simu isiyokoma, matangazo ya kidijitari katika mabasi na magari ya moshi, kelele kubwa zitokazo kutoka kwa maruninga hata katika maofisi matupu, ni shambulio na vurugu zisizoisha. Jamii ya binadamu huwa inajichosha na kelele na hutamini kinyume chake- kama ni jangwani, katika maziwa mapana au katika faragha zilizotengwa ili kupata utulivu na umakinifu. Alain Corbin, profesa wa historia, anaandika kutoka kwa ngome yake kule Sorbonne, na Erling Kagge, mtafiti wa KiNorwe, kutoka kwa kumbukumbu zake za uharibifu wa Antarctica, ambako wote wawili wamejaribu kutoroka. Na bado, kama vile Bw Corbin anavyosema katika ''A History of silence'', kuna uwezekano kwamba hakuna kelele nyingi kama ilivyokuwa hapo mwanzoni.Kabla ya tairi hewa, mitaa katika miji ilikuwa imejaa mikwaruzo mikali ya magurudumu ya chuma na njumu kwa mawe. Kabla ya utengano wa kujitolea ulioletwa na simu tamba, mabasi na magari ya moshi yalikuwa yamejaa kelele za mazungumzo. Wauzaji wa magazeti hawakuziwacha bidhaa zao katika rundo tuli kama wamezipanga, bali walizitangaza kwa sauti ya juu, wachuuzu wa cheri, matundu ya urujuani and una safi walifanya hivyo hivyo. Vyumba vya maonyesho ya sanaa na opera vilikuwa vimejaa vurugu za kila aina. Vijijini pia, maskini waliimba huku wakifanya kazi za sulubu. Siku hizi hawaimbi. Kile ambacho kimebadilika sawa sio sana kiwango cha kelele, ambacho jamii za hapo awali zililalamikia, bali kiwango cha vurugu, ambacho kimechukua nafasi ambayo inaweza vamiwa na ukimya. Lakini sasa kuna kweli kinzani nyingine, kwa sababu unapovamia- kule ndani ya msitu wa msonobari, katika jangwa lililo wazi, katika chumba ambacho kimehamwa kwa haraka - mara nyingi huwa wa kuogofya badala ya kukaribishwa. Hofu hutanda: sikio nalo hutegwa ili linase chochote kile, kiwe ni sauti ya moto au mlio wa ndege au susuru ya majani, ambacho kitaliokoa kutokana na upweke huu usiodhihirika. Watu hupenda ukimya, lakini sio ukimya mwingi. | Entry #24179 — Discuss 0 — Variant: Not specifiednone
Finalist Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
11 | 1 x4 | 3 x2 | 1 x1 |
Rating type | Overall | Quality | Accuracy |
---|
Entry | 2.95 | 3.10 (10 ratings) | 2.80 (10 ratings) |
- 1 user entered 4 "like" tags
wakifanya kazi za sulubu | Flows well Very good drudge ni kazi za kuchosha za sulubu | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
kweli kinzani | Flows well It is correct. You may also use kitendawili or tatizo | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
sikio nalo hutegwa ili linase chochote kile | Flows well Very good. Sikio hunasa/hushikilia/hufunga yaani hukamata kitu au mlio wowote | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
susuru | Other You have adopted it from English. It is OK. Adoption is allowed, it is not a serious mistake. I suggest you adopt and naturalize it by saying susuriko za majani au msusuriko wa majani yaani majani yanasusurika. | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
- 5 users entered 23 "dislike" tags
- 3 users agreed with "dislikes" (12 total agrees)
- 1 user disagreed with "dislikes" (1 total disagree)
+2 1 Watu hutamani ukimya | Spelling This is not the beginning of a story, there are missing words here | George Mwidima Kihanda | |
| Mistranslations It should be hawawezi kuupata: Can find none. Hawatatizwi means they are not troubled with | George Mwidima Kihanda | |
angalau | Mistranslations It should "kwa kiasi kidogo katika nchi zilizoendelea" | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
magari ya moshi | Spelling magarimoshi | James Lue No agrees/disagrees | |
umakinifu. | Mistranslations Concentration does not mean umakinifu. Suppose it is a Concentration Camp, can you still translate a place of umakini? Can someone concentrate in his mind at the camp? | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
uharibifu | Mistranslations Does wastes mean uharibifu? Give us explanation why not taka | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
| Mistranslations It should be viatu vya farasi "horse shoes". Njumu are shoes cleats found on football players' shoes not horses | George Mwidima Kihanda | |
| Spelling violets are plants please write mirujuani (plural) and mrujuani (singular) NOT matundu | George Mwidima Kihanda | |
| Spelling mackerel are fish named bangala in Swahili NOT una safi which is meaningless | George Mwidima Kihanda | |
maskini | Mistranslations Not meaning of 'peasants' | James Lue No agrees/disagrees | |
| Non-finalist entries The following entries were not selected by peers to advance to finals-round voting. Moja wa matamanio katika kizazi hiki, katika ulimwengu ulioendelea ni kuwa watu wanatamani kimya na hawakipati. Kelele ya magari, mlio wa simu, matangazo katika mabasi na treni, runinga zinazofanya kelele kwenye ofisi tupu ni vurugu isiyo na mwisho. Binadamu wanajichosha na kelele na wanatamani kinyume cha hali hii - ikiwa ni mbugani, kwenye bahari au kwenye maeneo yaliyotengwa kwa faragha na utulivu. Alain Corbin ambaye ni profesa wa historia anaandika akiwa Sorbonne. Nae Erling Kagge ambaye ni mchunguzi wa kutoka Norway anaandika kutoka kumbukumbu za Antaktika ambako wawili hawa walijaribu kutoroka. Hata hivyo Bwana Corbin anasema katika nakala yake ya "A History of Silence" - "Historia ya Kimya", pengine kiwango cha kelele hakijaongezeka kuliko hapo mbeleni. Kabla ya magurudumu, barabara zilijaa kelele za magurudumu ya chuma na miguu ya farasi kwenye barabara za mawe. Kabla ya mtu kujitenga kwa hiari akitumia simu ya mkononi, kelele kutokana na mazungumzo ndani ya mabasi na treni ilikuweko. Wachuuzi wa magazeti hawakuyaacha magazeti yajiuze, waliyanadi kwa sauti kubwa. Pia wauzaji wa matunda, maua na samaki waliokuwa tu wamevuliwa. Katika majumba ya sinema na michezo ya kuigiza kulikuwa na kelele nyingi. Hata kule mashambani wakulima waliimba wakifanya kazi ya sulubu. Siku hizi hawaimbi. Kilichobadilika sio kwa hali kubwa kiwango cha kelele ambacho katika karne zilizopita watu walilalamikia. Bali ni kiwango cha mambo yanayotuvuruga. Mambo haya yanachukua nafasi ya kimya. Kuna kinaya kingine kwasababu kinapovamia, katka msitu, jangwa, katika chumba tupu, kimya huwa na woga na hakikaribishwi. Uwoga huingia, masikio yanategwa kusikiza chochote. Iwe ni kelele ya moto, ndege wakiitana au minong'ono ya majani - haya yatanusuru kimya kutokana na utupu. Watu wanataka kimya, lakini kiasi tu. | Entry #23377 — Discuss 0 — Variant: Kenyankenyswa
Rating type | Overall | Quality | Accuracy |
---|
Entry | 2.70 | 2.90 (10 ratings) | 2.50 (10 ratings) |
- 1 user entered 1 "like" tag
minong'ono ya majani | Flows well I suggest you adopt and naturalize it by saying susuriko za majani au msusuriko wa majani yaani majani yanasusurika. | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
- 5 users entered 12 "dislike" tags
- 3 users agreed with "dislikes" (7 total agrees)
katika | Spelling 'at least' not translated | James Lue No agrees/disagrees | |
kimya na hawakipati. | Spelling ukimya na hawaupati | James Lue No agrees/disagrees | |
Nae | Spelling Naye, because it is contraction of na yeye | Bernard Oginga No agrees/disagrees | |
nakala | Mistranslations Nakala is a copy | Bernard Oginga No agrees/disagrees | |
ilikuweko. | Grammar errors It should be ilikuwako; in Affirmative sentences the main verbs should end in 'a' not 'e'. Ilikuwa-ko | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
maua | Spelling which flowers? Violets are plants named Mirujuani in Swahili | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
| Omission What type of Kelele nyingi: Please specify as in original huzzah and barracking which means vifijo kukubali na kuzomea | George Mwidima Kihanda | |
Kilichobadilika sio kwa hali kubwa kiwango cha kelel | Inconsistencies the sentence does not make sense | VINCENT OKANGI No agrees/disagrees | |
| Mada ya enzi, angalau katika ulimwengu ulioendelea, ni kwamba watu wanatamani sana unyamavu na hawaipati. Ngurumo ya vitu vya uchukuzi, miliyo ya simu isiyoisha, matangazo ya kitarakilishi kwenye mabasi na magari ya moshi, runinga zipigazo kelele hata kwenye maofisi yaliyo tupu, ni mashambulizi na makengeusho yasiyoisha. Jamii ya wanadamu yajichosha na kelele na yatamani kinyume chake—iwe porini, kwenye bahari kuu au pahali pa mapumziko iliyotengwa kwa utulivu na umakini. Alain Corbin, profesa wa historia, aandika kutoka katika kimbilio lake huko Sorbonne, na Erling Kagge, mvumbuzi wa kutoka Norway, kutoka katika kumbukumbu zake za taka za Antaktika, ambamo wote walijaribu kutorokea. Na bado, vile Bw Corbin anavyoonyesha kwenye "Historia ya Unyamavu", pengine hakuna kelele zaidi kuliko ilivyokuwa. Kabla ya magurudumu ya pumzi, barabara za jiji zilijaa kelele nyingi za magurudumu ya vyuma na viatu vya farasi kwenye mawe. Kabla ya matengano ya hiari kwenye simu za rununu, mabasi na magari ya moshi yalijaa mazungumzo. Wauzaji-magazeti hawakuwacha bidhaa zao kwenye rundo bubu, lakini walizitangaza kwa sauti ya juu, kama vile wachuuzi wa cheri, vayoleti na kibua safi. Sehemu za miigizo na muziki zilikuwa michafuko ya sauti zilizopazwa kwa kukubali au kutokubali. Hata mashambani, wakulima waliimba walipofanya kazi. Hawaimbi sasa. Kilichogeuka si kiwango cha kelele vile, ambacho karne zilizopita pia zililalamikia, lakini kiwango cha makengeusho, ambacho chachukuwa nafasi ambayo unyamavu ungevamia. Hapo kwaibuka ukweli kinza mwingine, kwa sababu inapovamia—katika kina cha msitu wa misonobari, kwenye jangwa lililo tupu, katika chumba kilochowachwa tupu kwa ghafla—mara nyingi huangaisha badala ya kuwa jambo la kukaribisha. Hofu huingia; sikio lakwamia chochote kisilika, iwe muunzi wa moto au mwito wa ndege au mchakacho wa matawi, ambacho kitakiokoa kutoka kwenye utupu huu usiojulikana. Watu wanataka unyamavu, lakini si kiasi hicho. | Entry #22475 — Discuss 0 — Variant: Kenyankenyswa
Rating type | Overall | Quality | Accuracy |
---|
Entry | 2.67 | 2.78 (9 ratings) | 2.56 (9 ratings) |
- 1 user entered 2 "like" tags
ukweli kinza | Flows well Good direct translation but you may use Kitendawili which has ukweli kinzani ndani yake | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
mchakacho wa matawi | Flows well I suggest you adopt and naturalize it by saying susuriko za majani au msusuriko wa majani yaani majani yanasusurika. But remember "leaves" = majani not matawi, "branches" = matawi | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
- 2 users entered 14 "dislike" tags
- 2 users agreed with "dislikes" (7 total agrees)
- 1 user disagreed with "dislikes" (2 total disagrees)
Historia ya Unyamavu | Other Giving the book a Swahili title yet it does not exist is misleading. | Bernard Oginga No agrees/disagrees | |
| Mistranslations Pumzi means breathing for living creature not for tyres. Say matairi ya upepo just upepo | George Mwidima Kihanda | |
Wauzaji-magazeti | Grammar errors The -ji is a repetition because 'wauza' already represent the noun. It is like saying wakulimaji (mashamba) | Bernard Oginga No agrees/disagrees | |
vayoleti | Spelling Violets are plants; mimea; should be translated to mirujuani (plural) and mrujuani (singular) | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
chachukuwa | Spelling It should chachukua; never use glide formation effect that sounds like wa instead of ua | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
huangaisha | Spelling It should hu-hangaisha, huhangaisha NOT huangaisha, This is not Swahili spelling | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
kitakiokoa | Grammar errors Kita(li)okoa (sikio) the object marker (li) tells more about (sikio). Never use KI for sikio. Instead use LI | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
| Maandhari ya umri, angalau katika ulimwengu ulioendelea, ni kwamba watu wanatamani kimya na hawawezi kupata. Sauti ya trafiki, simu za kutosha za simu za mkononi, matangazo ya digital katika mabasi na treni, TV inaweka hata katika ofisi zisizo na tupu, ni betri isiyo na mwisho na uharibifu. Jamii ya binadamu inajivunja yenyewe na kelele na inatamani kinyume chake-ikiwa katika pori, juu ya bahari pana au katika makao mengine ya kujitolea kwa utulivu na mkusanyiko. Alain Corbin, profesa wa historia, anaandika kutoka katika kukimbia kwake huko Sorbonne, na Erling Kagge, mchunguzi wa Norway, kutokana na kumbukumbu zake za taka za Antartika, ambapo wote wamejaribu kutoroka. Hata hivyo, kama Mr Corbin anasema katika "Historia ya Ukimya", labda hakuna kelele zaidi kuliko ilivyokuwa. Kabla ya matairi ya nyumatiki, barabara za jiji zilijaa magunia ya viziwi vya magurudumu ya chuma na farasi kwenye jiwe. Kabla ya kujitenga kwa hiari kwenye simu za mkononi, mabasi na treni zinaanza kwa mazungumzo. Wafanyabiashara wa gazeti hawakuacha bidhaa zao katika sehemu ya ukimya, lakini waliwaangaza kwa sauti ya kiasi cha juu, kama walivyofanya wachuuzi wa cherries, violets na mackerel safi. Ukumbi na opera walikuwa machafuko ya huzzahs na barracking. Hata katika mashambani, wakulima walisema walipokuwa wakipiga. Hawa imba sasa. Imebadilika sio kiasi cha kelele, ambazo karne zilizopita pia zililalamika, lakini kiwango cha kuvuruga, ambayo inachukua nafasi ambayo kimya inaweza kuathiri. Huko kuna kitambo kingine, kwa sababu wakati inapoingia-ndani ya kina cha msitu wa pine, katika jangwa la uchi, katika chumba cha ghafla kilichotoka-mara nyingi huathibitisha bila kukubalika. Hofu huingia ndani; sikio linaweka juu ya kitu chochote, kama moto-punda au ndege au wito wa majani, ambayo itauokoa kutokana na ukosefu huu usiojulikana. Watu wanataka kimya, lakini sio kiasi hichi. | Entry #23374 — Discuss 0 — Variant: Tanzaniantanzswa
Rating type | Overall | Quality | Accuracy |
---|
Entry | 2.61 | 2.71 (7 ratings) | 2.50 (6 ratings) |
- 1 user entered 1 "like" tag
wito wa majani | Flows well I suggest you adopt and naturalize it by saying susuriko za majani au msusuriko wa majani yaani majani yanasusurika. | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
- 4 users entered 19 "dislike" tags
- 1 user agreed with "dislikes" (11 total agrees)
- 1 user disagreed with "dislikes" (1 total disagree)
| Mistranslations There is no such thing like mandhari ya umri, it is therefore meaningless. Views of age? A theme means topic therefore mada or gumzo | George Mwidima Kihanda | |
kimya na hawawezi kupata | Syntax ukimya na hawaupati | James Lue No agrees/disagrees | |
+1 simu za kutosha za simu za mkononi, matangazo ya digital katika mabasi na treni, TV inaweka | Other How comes this translation is very similar to Entry #23078? Who copied who or is it the same person? | Richard Lango | |
zisizo | Mistranslations zilizo | James Lue No agrees/disagrees | |
ni betri isiyo na mwisho na uharibifu | Mistranslations | James Lue No agrees/disagrees | |
-1 1 "Historia ya Ukimya", | Mistranslations History of silence | VINCENT OKANGI | |
| Mistranslations This is a copy and paste of the same repeated mistakes of another entry above and still meaningless | George Mwidima Kihanda | |
waliwaangaza | Mistranslations It should be walizitangaza; tangaza means advertise but 'angaza' means 'look for' | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
+1 cherries, violets na mackerel safi | Mistranslations Please translate these words into Swahili | George Mwidima Kihanda | |
| Mistranslations Wakipiga nini? Not correct translation; drudge ni kufanya kazi za suluba/sulubu | George Mwidima Kihanda | |
| Grammar errors The Negative of Swahili verbs ending in a should change to i in the Negative > Hawaimbi NOT Hawaimba | George Mwidima Kihanda | |
pine | Mistranslations Please translate this to msonobari or adopt it to mipaini (miti) | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
sikio linaweka juu ya kitu chochote | Mistranslations It should be that sikio linanasa kitu chochote | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
| Kwa kiasi Fulani katika nchi zilizoendelea watu wana shauku ya kuwepo ukimya ambayo ni kauli mbiu ya muda mrefu lakini haupo. Mingurumo ya magari na watu, miito ya simu isiyoisha, matangazo yanayotolewa kwa njia ya kidijitali katika mabasi na garimoshi, pia sauti zinazopiga kelele za seti za televisheni katika maofisi matupu ni vitu vinavyotumika kufanya fujo na vurugu. Binadamu wanajichosha wenyewe kwa makelele kitu ambacho ni kinyume katika sehemu za mwituni, baharini au katika baadhi ya sehemu zilizohamwa na kutengwa kwa ajili ya utulivu na umakinifu. Profesa wa historia, Alain Corbin ameandika kuhusu kukimbilia kwake Sorbonne na kuhusu Erling Kagge ambaye ni raia wa Norway na mtafiti juu ya kumbukumbu zao za Antarctica ambako wote walijaribu kupakimbia. Kama ambavyo bwana Corbin ameeleza katika “Historia ya Ukimya”, inawezekana hakuna makelele zaidi kama ilivyokuwa. Kabla ya kuwepo matairi ya kujazwa upepo, mitaa ya mijini ilikuwa imejaa matairi ya vyuma na kwato za chuma za wanyama. Kabla ya utengaji wa hiari wa simu za mkononi, mabasi na garimoshi yalikuwa yakigubikwa na mazungumzo. Wauzaji wa magazeti hawakuziacha sehemu zao za biashara katika hali ya ukimya bali walizitangaza kwa sauti kubwa kama wafanyavyo wauzaji wa cheri, urujuani na samaki jamii ya bangala. Sehemu hizo ilikuwa imejaa makelele. Pia sehemu za vijijini, wakulima waliimba kama wafanyavyo watumishi wa nyumbani. Hivi sasa hawaimbi. Hivi sasa kilichobadilika siyo kiasi kingi cha kelele ambazo katika karne za nyuma zilikuwa zikilalamikiwa bali ni kiasi cha vurugu ambazo zimetawala katika sehemu ambazo zilitakiwa kuwa na utulivu. Kuna sura nyingine inaonekana kukinzana, kwa sababu hali hiyo inapokuwepo katika msitu mkubwa, jangwa kubwa, katika chumba ambacho kimehamwa ghafla mara nyingi inathibitisha usumbufu badala ya kufurahiwa. Hofu inatawala, masikio yanaathiriwa na vitu mbali mbali, ima mlipuko wa moto au mlio wa ndege au mtikisiko wa majani, hali hiyo itasaidiwa na hali ya ukimya. Watu wanahitaji ukimya ila siyo kwa kiwango hicho. | Entry #24217 — Discuss 0 — Variant: Not specifiednone
Rating type | Overall | Quality | Accuracy |
---|
Entry | 2.40 | 2.40 (5 ratings) | 2.40 (5 ratings) |
- 3 users entered 25 "dislike" tags
- 1 user agreed with "dislikes" (4 total agrees)
- 2 users disagreed with "dislikes" (2 total disagrees)
+1 Kwa kiasi Fulani katika nchi zilizoendelea watu wana shauku ya kuwepo ukimya ambayo ni kauli mbiu ya muda mrefu lakini haupo | Syntax | Richard Lango | |
na watu | Spelling Not in the source | James Lue No agrees/disagrees | |
garimoshi | Spelling make plural | James Lue No agrees/disagrees | |
vinavyotumika | Spelling No one purposely uses them to do this. | James Lue No agrees/disagrees | |
kitu ambacho ni kinyume katika sehemu za mwituni | Spelling Wrong translation | James Lue No agrees/disagrees | |
kuhusu kukimbilia kwake | Spelling Wrong translation | James Lue No agrees/disagrees | |
na kuhusu | Spelling Wrong translation | James Lue No agrees/disagrees | |
-1 1 kupakimbia | Mistranslations Gives opposite meaning of source text. | Richard Lango | |
Kama ambavyo | Spelling Not translation of 'And yet' | James Lue No agrees/disagrees | |
bwana | Spelling Start with cap | James Lue No agrees/disagrees | |
imejaa | Spelling 'deafening' not translated | James Lue No agrees/disagrees | |
kwato | Mistranslations Does horse shoes means kwato? No. It means viatu vya farasi | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
utengaji wa hiari | Spelling Not precise. | James Lue No agrees/disagrees | |
sehemu zao za biashara | Spelling 'ware' here are not places | James Lue No agrees/disagrees | |
| Grammar errors All plants in Swahili are in M/MI Noun Class: So the correct one should be "mjuruani" one plant and mirujuani - many plants NOT urujuani which means color of violets | George Mwidima Kihanda | |
Sehemu hizo ilikuwa imejaa makelele. | Spelling Source not translated | James Lue No agrees/disagrees | |
+1 wakulima waliimba kama wafanyavyo watumishi wa nyumbani. | Mistranslations They sang as they drudge = Waliimba wakifanya kazi za sulubu/suluba | George Mwidima Kihanda | |
vurugu ambazo zimetawala katika sehemu ambazo zilitakiwa kuwa na utulivu. | Spelling Not correct | James Lue No agrees/disagrees | |
inathibitisha | Spelling Not the meaning of 'proves' here. | James Lue No agrees/disagrees | |
+1 asikio yanaathiriwa na vitu mbali mbali, | Mistranslations Masikio hayaathiriwi bali yanashika/yananasa/yanakamata/yanafunga kukamata vitu | George Mwidima Kihanda | |
mlipuko | Spelling Not meaning of 'hiss' | James Lue No agrees/disagrees | |
hali hiyo itasaidiwa na hali ya ukimya. | Spelling Wrong translation. | James Lue No agrees/disagrees | |
| Mada ya umri, angalau kwa kwa nchi zilizoendelea ambapo watu wanatamani utulivu na hawaupati.Mirindimo ya magari barabarani, miito isiyoisha ya simu za mkononi, matangazo ya kidigitali kwenye mabasi na garimoshi,Luninga zinazopiga kelele kwenye ofisi zisizo na watu ni wazimu usio na mwisho. Mashindano ya mwanadamu ni kujichosha mwenyewe na makelele na kusubiria kinyume chake, iwe porini , baharini au kwenye utulivu wa kuweza kufikiri. Alain Corbin ni profesa wa historia, aliandika akiwa ukimbizini huko Sorbonne,Erling Kagge ambaye ni mpelelezi wa kinorwei katika kumbukumbu zake katika ardhi ya Antarctica ambako walijaribu kutoroka. Kama bwana Corbin alivyobainisha katika "Historia ya Ukimya",inawezekana hakuna tena kelele kama ilivyokuwa awali. Kabla ya matairi hewa, mitaa ya jiji ilikuwa na magurudu ya chuma yasiyotoa kelele na viatu vya farasi juu ya mawe.Kabla ya kujitoa kwa hiari kwenye milio ya simu za mkononi , mabasi na garimoshi. Wauza magazeti hawakuuza magazeti kimya bali walitangaza tena kwa kupaza sauti ya juu kama wafanyavyo wachuuzi wa matunda kama cheri, urujuani na wachuuzi wa samaki.Jumba la maonyesho na maigizo lilijawa shangwe na zomea zomea.Sehemu za mashambani wakulima wanaimba huku wakifanya kazi ngumu. Siku hizi hawaimbi. Kilichobadilika siyo kiwango cha makelele, ambapo zama za kale walilalamikia pia, lakini tatizo ni kiwango cha wazimu au fadhaa ambacho kinatawala nafasi ambayo utulivu unaweza kuingilia.Kuna ukinzani unaojitokeza , kwasababu kimya kitakapovamia kwenye kina cha msitu, jangwaau chumba kilichowazi hali hiyo itafadhaisha au kuogofya. Nyemelea ndani kwa uwoga:masikio yapo tayari kusikia chochote iwe mlio wa moto au ndege au jani ambao utasaidia kuondoa huu ukimya.Watu wanahitaji utulivu lakini si kwa kiwango hiki. | Entry #22654 — Discuss 0 — Variant: Tanzaniantanzswa
Rating type | Overall | Quality | Accuracy |
---|
Entry | 2.22 | 2.22 (9 ratings) | 2.22 (9 ratings) |
- 4 users entered 40 "dislike" tags
- 3 users agreed with "dislikes" (13 total agrees)
- 1 user disagreed with "dislikes" (1 total disagree)
umri, | Mistranslations age = kizazi, kipindi hiki not umri someone's age | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
+1 1 umri | Spelling 'age' here does not mean how long a person has lived but means 'era' | James Lue | |
kwa | Spelling repeated word | James Lue No agrees/disagrees | |
ambapo | Spelling 'ambapo' means 'where'. Source says 'is that' which is 'ni kuwa' | James Lue No agrees/disagrees | |
garimoshi | Spelling needs plural 'magarimoshi' | James Lue No agrees/disagrees | |
L | Spelling start with lowe case | James Lue No agrees/disagrees | |
kwenye | Spelling word 'even' not translated, i.e. 'hata kwenye' | James Lue No agrees/disagrees | |
Mashindano ya mwanadamu | Spelling 'race' here does not mean 'running' | James Lue No agrees/disagrees | |
ni kujichosha | Spelling no agreement with required subject | James Lue No agrees/disagrees | |
mwenyewe na makelele na kusubiria kinyume chake | Spelling wrong translation | James Lue No agrees/disagrees | |
ni | Spelling this creates a running sentence where there was none. | James Lue No agrees/disagrees | |
Kama | Spelling 'Kama' here does not mean 'Yet' | James Lue No agrees/disagrees | |
-1 1 alivyobainisha | Spelling wrong tense | James Lue | |
tena | Spelling This is not in the source language | James Lue No agrees/disagrees | |
+2 1 yasiyotoa kelele | Mistranslations Magurudumu ya chuma kwa kawaida hutoa kelele: They are noisy | George Mwidima Kihanda | |
kujitoa kwa hiari kwenye | Spelling not very precise | James Lue No agrees/disagrees | |
garimoshi | Spelling 'rang with conversation' not translated. | James Lue No agrees/disagrees | |
shangwe | Spelling 'chaos' is not 'shangwe' | James Lue No agrees/disagrees | |
wanaimba | Spelling Wrong tense | James Lue No agrees/disagrees | |
makelele | Spelling 'kelele' has no plural | James Lue No agrees/disagrees | |
wazimu au fadhaa | Spelling Not the translation for 'distraction' | James Lue No agrees/disagrees | |
kwasababu | Spelling These are two words. | James Lue No agrees/disagrees | |
kilichowazi | Spelling Two words | James Lue No agrees/disagrees | |
. | Spelling Word 'welcome' not translated. | James Lue No agrees/disagrees | |
Nyemelea ndani kwa uwoga | Spelling Wrong translation. It should be 'Woga unaingia' | James Lue No agrees/disagrees | |
ukimya | Spelling 'emptiness' is not 'ukimya' | James Lue No agrees/disagrees | |
| Mandhari ya umri, angalau katika ulimwengu ulioendelea, ni kwamba watu wanatamani kimya na hawawezi kupata. Sauti ya trafiki, simu za kutosha za simu za mkononi, matangazo ya digital katika mabasi na treni, TV inaweka hata katika ofisi zisizo na tupu, ni betri isiyo na mwisho na uharibifu. Jamii ya binadamu inajivunja yenyewe na kelele na inatamani kinyume chake-ikiwa katika pori, juu ya bahari pana au katika makao mengine ya kujitolea kwa utulivu na mkusanyiko. Alain Corbin, profesa wa historia, anaandika kutoka katika kukimbia kwake huko Sorbonne, na Erling Kagge, mchunguzi wa Norway, kutokana na kumbukumbu zake za taka za Antarctica, ambapo wote wamejaribu kutoroka. Hata hivyo, kama Mr Corbin anasema katika "A History of Silence", labda hakuna kelele zaidi kuliko ilivyokuwa. Kabla ya matairi ya nyumatiki, barabara za jiji zilijaa magunia ya viziwi vya magurudumu ya chuma na farasi kwenye jiwe. Kabla ya kujitenga kwa hiari kwenye simu za mkononi, mabasi na treni zinaanza kwa mazungumzo. Wafanyabiashara wa gazeti hawakuacha bidhaa zao katika rundo la mute, lakini waliwaangaza kwa kiasi cha juu, kama walivyofanya wachuuzi wa cherries, violets na mackerel safi. Theater na opera walikuwa machafuko ya furaha. Hata katika mashambani, wakulima walisema walipokuwa wakipiga. Hawana kuimba sasa. Imebadilika sio kiasi cha kelele, ambazo karne zilizopita pia zililalamika, lakini kiwango cha kuvuruga, ambayo inachukua nafasi ambayo kimya inaweza kuathiri. Huko kuna kitambo kingine, kwa sababu wakati inapoingia-ndani ya kina cha msitu wa pine, katika jangwa la uchi, katika chumba cha ghafla kilichotoka-mara nyingi huathibitisha bila kukubalika. Hofu huingia ndani; sikio linaweka juu ya kitu chochote, kama moto-punda au ndege au wito wa majani, ambayo itauokoa kutokana na ukosefu huu usiojulikana. Watu wanataka kimya, lakini sio kiasi. | Entry #23078 — Discuss 0 — Variant: Not specifiednone
Rating type | Overall | Quality | Accuracy |
---|
Entry | 2.08 | 2.29 (7 ratings) | 1.86 (7 ratings) |
- 2 users entered 24 "dislike" tags
- 3 users agreed with "dislikes" (24 total agrees)
+2 1 Mandhari ya umri | Mistranslations Theme of Age means Gumzo la Miaka Mingi/Karne/Enzi, not about someone's age | George Mwidima Kihanda | |
angalau katika ulimwengu ulioendelea | Mistranslations It does not make any sense to say angalau katika ulimwengu ulioendelea. In this context; at least means 'hasa' or hata [tukianza na mfano 'mdogo' 'least' hasa/angalau katika nchi zilizoendelea, angalau is for other context e.g. at least two children passed = angalau watoto wawili walifaulu | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
+2 1 simu za kutosha za simu za mkononi, | Spelling ceaseless beep means isiyokoma not kutosha | George Mwidima Kihanda | |
+1 1 zisizo na tupu | Spelling Empty office means ofisi tupu: Your translation zisizo tupu is incorrect | George Mwidima Kihanda | |
| Mistranslations Do not translate literally. Endless battery means collection of endless things i.e. mlolongo in Swahili | George Mwidima Kihanda | |
| Grammar errors Before using adopted uncommon rarely used word please use matairi ya upepo | George Mwidima Kihanda | |
+1 barabara za jiji zilijaa magunia ya viziwi | Mistranslations How can road be full of bags of deaf persons? Do we have bags of deaf persons here? | George Mwidima Kihanda | |
+1 1 magunia ya viziwi | Mistranslations There is no such thing "bags of deaf persons" "magunia ya viziwi????" | George Mwidima Kihanda | |
| Mistranslations It does not make any sense after all mute is English, where is translation for mute? | George Mwidima Kihanda | |
| Spelling It should be "waliwatangaza" not waliwaangaza. Waliwaangaza means they were looking for them | George Mwidima Kihanda | |
cherries, violets na mackerel | Spelling These words have meaning in Swahili they should not remain in English | George Mwidima Kihanda No agrees/disagrees | |
| Mistranslations Does Huzzah and Barracking means machafuko ya furaha? No. They do not mean that. They mean kushangilia na kuzomea; kukubali kwa vifijo na kushangilia na kutokubali kwa kuzomea | George Mwidima Kihanda | |
| Spelling Piga is different the meaning of drudge means do hard menial work, kazi ngumu ya kuchosha not piga | George Mwidima Kihanda | |
Imebadilika sio kiasi cha kelele | Mistranslations | James Lue No agrees/disagrees | |
| Spelling Please translate into Swahili: you may adopt it by writing mipaini or use a translation misonobari | George Mwidima Kihanda | |
| | | | | X Sign in to your ProZ.com account... | | | | | | ProZ.com translation contestsProZ.com translation contests offer a fun way to take a break from your normal routine while testing and honing your skills with fellow translators.
ProZ.com Translation Contests. Patent pending. |