Competition in this pair is now closed. Discussion and feedback about the competition in this language pair may now be provided by visiting the "Discussion & feedback" page for this pair. Entries may also be individually discussed by clicking the "Discuss" link next to any listed entry. Source text in English [...] “I have a proposal.” It leaned forward like my friend April does when she wants to tell a secret, even though none of her secrets are any good. Or even really secrets. “If you don’t tell anyone I am here, I can fix your eyes.”
“Get out of town!”
It blinked a couple of times. “That is what I am attempting to do.”
“What I mean is you can’t do that!”
“Why not?”
“Well, no one else has been able to fix my eyes, besides with glasses.”
“I have certain abilities. You will see, provided…”
“…I don’t tell anyone about you?”
“That is the heart of it, that is the nub.”
“How do I know you won’t blind me? You could be like one of those telemarketers making promises but totally lying.”
It started waxing on, waxing off again. “I would not do such a thing to a creature who has done me no harm.”
“Meaning if I harmed you, you could make me go blind?”
“That’s on a need-to-know basis.”
“And if you fix my eyes, and I don’t tell anyone about you, you’ll leave our fields?”
“That’s the heart of it!” [...] | Winning entries could not be determined in this language pair.There were 14 entries submitted in this pair during the submission phase. Not enough votes were submitted by peers for a winning entry to be determined.
Competition in this pair is now closed. | ''Nina wazo.'' Akainama kwa mbele kama rafiki yangu April afanyavyo anapotaka kusema siri, japokuwa hakuna siri yake iliyo nzuri. Au hata kuwa siri kweli. ''Usipomwambia yeyote kuwa nipo hapa, naweza kuyatibu macho yako''. ''Ondoka mjini!'' Akapepesa mara kadhaa. ''Hicho ndicho ninachojaribu kufanya''. ''Ninachomaanisha ni kuwa huwezi kufanya hivyo!'' ''Kwa nini?'' ''Kiukweli hakuna mtu ambaye ameweza kuyatibu macho yangu, isipokuwa kwa miwani.'' ''Nina uwezo fulani, utaona, kwa kuwa....'' ''......Nisimwambie mtu kuhusu wewe?'' ''Hilo ni jambo muhimu sana, ndicho kiini.'' ''Nitajuaje kuwa hutonipofusha? Unaweza kuwa kama wale wauzaji wa mtandaoni wanavyotoa ahadi lakini ni waongo kabisa.'' Alianza kusafisha, na kusafishwa tena. ''Nisingeweza kufanya jambo lile kwa kiumbe ambacho hakijaniletea madhara yoyote.'' ''Unamaanisha kama ningekudhuru, ungenifanya kuwa kipofu?'' ''Hiyo ni kwa misingi ya kutaka kujua.'' ''Na kama ukiyatibu macho yangu, na nisimwambie yeyote kuhusu wewe, utaondoka kwenye mashamba yetu?'' ''Huo ndiyo msingi wake!'' | Entry #38095 — Discuss 0 — Variant: Tanzaniantanzswa
Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
12 | 2 x4 | 2 x2 | 0 |
| [...] "Nina pendekezo."Likaegemea mbele kama rafiki yangu April anavyofanya anapotaka kusema siri,ijapokuwa hakuna siri yake yoyote iliyo nzuri. Ama kwa kweli siri. " Kama hutamwambia yeyote niko hapa, ninaweza tengeneza macho yako." "Toka nje ya mji!" Likapepesa mara kadhaa. "Hilo ndilo ninalojaribu kufanya." "Mbona sivyo?" "Vema,hakuna mwingine yeyote aliyeweza kutengeneza macho yangu pasipo na kutumia miwani." "Nina uwezo fulani. Utaona,alimradi..." "...sitamwambia yeyote kukuhusu?" "Huo ndiyo moyo wake,hicho ndicho kiini." "Nitajuaje kwamba hutanipofusha? Unaweza kuwa mmoja wa wale wanasoko wa simu wanaotoa ahadi ila wanadanganya." Likaanza kupevuka na kupungua tena. "Siwezi fanya jambo kama hilo kwa kiumbe ambaye hajanidhuru." "Kumaanisha kuwa iwapo ningekudhuru,ungenipofusha?" "Hilo ni kwa misingi ya iwapo unahitaji kujua." "Na iwapo utatengeneza macho yangu na nisimwambie yeyote,utaondoka kwenye mashamba yetu?" "Hicho ndicho kiini chake!" [...] | Entry #38222 — Discuss 0 — Variant: Not specifiednone
Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
11 | 2 x4 | 1 x2 | 1 x1 |
| [...] "Nina pendekezo." Kikainama mbele kama rafiki yangu April anafanya anapotaka kusema siri, ingawa hakuna siri zake nzuri. Au hata siri za kweli. "Usipoambia yeyote kuhusu mimi kuwa hapa, Naweza kuponya macho yako." "Ondoka mjini!" Kilipepesa macho mara kadhaa. "Ndiyo ninacho jaribu kufanya." "Namaanisha huwezi kufanya hivyo!" "Kwa nini?" "Naam, hakuna mtu mwingine ameweza kuponya macho yangu, isipokuwa na miwani." "Nina uwezo fulani. Utaona, ikiwa..." "...sitamwambia mtu yeyote kuhusu wewe?" "Ndiyo msingi wake, ndio kiini." "Nitajuaje hutanipofusha? Unaweza kuwa kama wale wachuuzi ambao hutoa ahadi lakini wanadanganya kabisa." Kilianza kupaka nta, kisha kuifuta tena. "Siwezifanya kitu kama hicho kwa kiumbe ambacho hakijanidhuru." "Inamaanishaa kama ningekukuumiza, unaweza kunifanya kipofu?" "Hiyo ni kwa msingi wa haja ya kujua." "Na ikiwa utaponya macho yangu, na sitamwambia mtu yeyote kuhusu wewe, utaondoka mashambani mwetu?" "Ndiyo msingi wake!" [...] | Entry #38150 — Discuss 0 — Variant: Kenyankenyswa
Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
11 | 2 x4 | 1 x2 | 1 x1 |
| [...] "Nina pendekezo." Ilijiegemeza kunikaribia kama rafiki yangu April afanyavyo anapotaka kusema jambo la siri, ingawa hakuna siri zake ambazo ni nzuri kiasi hicho. Au hata siri kweli. "Ikiwa hutamwambia mtu yeyote kuwa niko hapa, naweza kutibu macho yako." "Toka mjini!" Ilipiga kope mara kadhaa. "Hilo ndilo ninajaribu kufanya." "Ninachomaanisha ni kwamba huwezi kufanya hivyo!" "Kwanini?" "Kwa kweli, hakuna mtu mwingine aliyewahi kuweza kutibu macho yangu, isipokuwa kwa miwani." "Nina uwezo fulani. Utaona, mradi tu..." "...Sitamwambia mtu yeyote kukuhusu?" "Hicho ndicho kiini chake, hiyo ndiyo hoja." "Je, nitajuaje kuwa hutanifanya kipofu? Unaweza kuwa kama wale mawakala wa simu wanaotoa ahadi lakini wanadanganya kabisa." Ilianza kujirudiarudia, kwa lengo la kufikia ustadi. "Siwezi kufanya kitu kama hicho kwa kiumbe ambaye hajafanya kitu kibaya kwangu." "Unamaanisha ikiwa nitakudhuru, unaweza kunifanya niwe kipofu?" "Hiyo ni kwa msingi wa kujua kwa ulazima." "Na ikiwa utatibu macho yangu, na sitamwambia mtu yeyote kukuhusu, utaondoka kwenye mashamba yetu?" "Hicho ndicho kiini chake!" [...] | Entry #38171 — Discuss 0 — Variant: Kenyankenyswa
Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
9 | 2 x4 | 0 | 1 x1 |
| [...] "Nina pendekezo." Ilisogea mbele kama rafiki yangu April anavyofanya anapotaka kusema siri, ingawa hakuna siri yake yoyote nzuri. Au hata siri za kweli. "Ikiwa hutamwambia mtu yeyote kuwa niko hapa, naweza kurekebisha macho yako." "Ondoka nje ya mji!" Iliangaza mara kadhaa. "Hicho ndicho ninachojaribu kufanya." Maingizo yote yatakuwa kiwango cha wakati wa kupendezwa au kupiga kura kuhusu maingizo. "Ninachomaanisha ni kwamba huwezi kufanya hivyo!" "Kwa nini isiwe hivyo?" "Naam, hakuna mtu mwingine ambaye ameweza kurekebisha macho yangu, zaidi ya miwani." "Nina uwezo fulani. Utaona, mradi ..." "...Simwambii mtu yeyote kuhusu wewe?" 1 Unataka kushiriki "Huo ndio moyo wake, ndio nub." "Nitajuaje kuwa hutanipofusha? Unaweza kuwa kama mmoja wa wauzaji wa simu wanaotoa ahadi lakini unadanganya kabisa." Ilianza kung'aa, ikitoka tena. "Nisingefanya kitu kama hicho kwa kiumbe ambaye hajanidhuru." "Ina maana nikikudhuru, unaweza kunifanya niwe kipofu?" "Hiyo ni kwa msingi wa hitaji la kujua." "Na ikiwa utaniweka macho yangu, na nisimwambie mtu yeyote kuhusu wewe, utaacha mashamba yetu?" "Huo ndio moyo wake!" [...] | Entry #38180 — Discuss 0 — Variant: Not specifiednone
Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
8 | 1 x4 | 1 x2 | 2 x1 |
| [...] "Nina pendekezo." Ilisogea mbele kama rafiki yangu April anavyofanya anapotaka kusema siri, ingawa hakuna siri yake yoyote nzuri au hata siri zenyewe hana. "Ikiwa hutamwambia mtu yeyote kuwa niko hapa, naweza kuyatibu macho yako." “Ondoka mjini!” Ilipesapesa macho mara kadhaa. "Hicho ndicho ninachojaribu kufanya." "Ninachomaanisha ni kwamba huwezi kufanya hivyo!" "Kwa nini isiwe hivyo?" "Maana, hakuna mtu mwingine ambaye ameweza kurekebisha macho yangu, zaidi ya mimi kutumia miwani." "Nina uwezo fulani. Utaona, mradi tu…” "...Nisimwambie mtu yeyote kukuhusu?" "Ndicho kiini cha nisemacho, ndicho ninachomaanisha." “Nitajuaje kuwa hutanipofusha? Unaweza kuwa kama mmoja wa wauzaji wa simu wanaotoa ahadi za uwongo kabisa. Ilianza kung'aa, ikatoka tena. "Siwezi kufanya kitu kama hicho kwa kiumbe ambaye hajanidhuru." "Ina maana nikikudhuru, unaweza kunifanya niwe kipofu?" "Hiyo ni kwa msingi wa hitaji lako kujua." "Na ikiwa utaniweka macho yangu, na nisimwambie mtu yeyote kuhusu wewe, utaondoka kwenye mashamba yetu?" "Hicho ndicho kiini chake!" [...] | Entry #37796 — Discuss 0 — Variant: Kenyankenyswa
Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
8 | 1 x4 | 2 x2 | 0 |
| [...] "Nina pendekezo." Iliegemea mbele kama rafiki yangu April anapotaka kutoa siri, ingawa hakuna siri yake ulio nzuri. Au hata siri za kweli. "Ikiwa hautamwambia mtu yeyote kuwa niko hapa, naweza kurekebisha macho yako." “Ondoka mjini!” Ilipepesa mara kadhaa. "Hicho ndicho ninachojaribu kufanya." "Ninachomaanisha ni kuwa huwezi kufanya hivyo!" "Kwa nini nisiweze?" "Kwa kweli, hakuna mtu mwingine ameweza kurekebisha macho yangu, isipokuwa na miwani." "Nina uwezo kadhaa. Utaona, bora tu…” "...Simwambii mtu yeyote kukuhusu?" "Huo ndio moyo wake, ndio kilele." “Nitajuaje kuwa hutanipofusha? Unaweza kuwa mmoja wa wauzaji wa simu wanaotoa ahadi lakini ni kudanganya kabisa. Ilianza kutoa sauti, ikazima tena. "Siwezi fanya kitu kama hicho kwa kiumbe ambaye hajanidhuru." "Ina maana nikikudhuru, unaweza kunifanya niwe kipofu?" "Hiyo ni kwa msingi wa hitaji la kujua." "Na ukinitengeneza macho yangu, na nisimwambie mtu yeyote kuhusu wewe, utaondoka kwenye mashamba yetu?" "Huo ndio moyo wake!" [...] | Entry #38125 — Discuss 0 — Variant: Not specifiednone
Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
8 | 2 x4 | 0 | 0 |
| [...] “Nina pendekezo.” Ilijiegemeza mbele kama rafiki yangu April anavyofanya anapotaka kusema siri, ingawa hakuna hata moja ya siri zake ni nzuri. Au hata siri. “Usipomwambia yeyote kwamba nipo hapa, naweza kurekebisha macho yako.” “Toka mjini!” Ilipepesa macho mara kadhaa. “Hicho ndicho ninachojaribu kufanya.” “Ninachomaanisha ni kwamba huwezi kufanya hivyo!” “Kwa nini?” “Kweli, hakuna mwingine aliyewahi kurekebisha macho yangu, zaidi ya kwa miwani.” “Nina uwezo fulani. Utaona, mradi…” “…Sitomwambia yeyote kukuhusu?” “Hiyo ndiyo roho yake, hiyo ndiyo kiini.” “Nitajuaje hutafanya nipofuke? Unaweza kuwa kama wale wauzaji wa simu wanaotoa ahadi lakini wanadanganya kabisa.” Ilianza kupaka, kupaka tena. “Singeweza kufanya jambo kama hilo kwa kiumbe ambacho hakijanidhuru.” “Unamaanisha ikiwa ningekudhuru, unaweza kunifanya nipofuke?” “Hiyo ni habari ya kujua tu.” “Na ikiwa utarekebisha macho yangu, na sitamwambia yeyote kukuhusu, utaondoka kwenye mashamba yetu?” “Hiyo ndiyo muhimu!” [...] | Entry #38284 — Discuss 0 — Variant: Not specifiednone
Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
6 | 1 x4 | 0 | 2 x1 |
| [...] "Nina pendekezo." Kikainama mbele kama rafiki yangu April anafanya anapotaka kusema siri, ingawa hakuna siri zake nzuri. Au hata siri za kweli. "Usipoambia yeyote kuhusu mimi kuwa hapa, Naweza kuponya macho yako." "Ondoka mjini!" Kilipepesa macho mara kadhaa. "Ndiyo ninacho jaribu kufanya." "Namaanisha huwezi kufanya hivyo!" "Kwa nini?" "Naam, hakuna mtu mwingine ameweza kuponya macho yangu, isipokuwa na miwani." "Nina uwezo fulani. Utaona, ikiwa..." "...sitamwambia mtu yeyote kuhusu wewe?" "Ndiyo msingi wake, ndio kiini." "Nitajuaje hutanipofusha? Unaweza kuwa kama wale wachuuzi ambao hutoa ahadi lakini wanadanganya kabisa." Kilianza kupaka nta, kisha kuifuta tena. "Siwezifanya kitu kama hicho kwa kiumbe ambacho hakijanidhuru." "Inamaanishaa kama ningekukuumiza, unaweza kunifanya kipofu?" "Hiyo ni kwa msingi wa haja ya kujua." "Na ikiwa utaponya macho yangu, na sitamwambia mtu yeyote kuhusu wewe, utaondoka mashambani mwetu?" "Ndiyo msingi wake!" [...] | Entry #38183 — Discuss 0 — Variant: Not specifiednone
Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
4 | 1 x4 | 0 | 0 |
| [...] "Ninapendekezo."Ilisonga mbele kama rafiki yangu April anapotaka kusema siri, ingawa hakuna yoyote kwa siri zake ni nzuri. Ama hata siri za Kweli. "usipoambia yeyote niko hapa, ninaweza kurekebisha macho yako." "Ondoka mjini!" Iliwaka mara kadhaa. "Hicho ndicho ninachojaribu kufanya." "Kile namaanisha ni kwamba huwezi kufanya hivyo!" "Kwa nini?" "Sawa, hakuna yeyote ameweza kurekebisha macho yangu isipokua miwani." "Nina uwezo fulani.Utaona, mradi tu…” "...Simwambii mtu yeyote kukuhusu?" "Huo ndio moyo wake, hiyo ndio kivuli." "Najuaje hutanifanya kipofu? unawezakua kama mmoja wa wale wauzaji wa simu ambao hutoa ahadi lakini ni za uongo kabisa." Ilianza kung'aa, ikaacha tena. "Nisingefanya kitu kama hicho kwa kiumbe ambaye hajanidhuru." "Kumaanisha ninge wahi kukudhuru, ungenifanya niwe kipofu?" "Hilo ni kwa msingi wa kutaka kujua." "Na ukirekebisha macho yangu, na nisiambie yeyote kukuhusu, utaacha mashamba yetu?" "Huo ndio moyo wake!" [...] | Entry #38005 — Discuss 0 — Variant: Kenyankenyswa
Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
4 | 1 x4 | 0 | 0 |
| [...] "Nina mpango wa Iliegemea mbele kama rafiki yangu Aprili anavyofanya wakati anataka kuwaambia siri, ingawa hakuna siri zake ni nzuri. Au hata siri ya kweli. "Kama huna kumwambia mtu yeyote mimi niko hapa, naweza kurekebisha macho yako." "Ondoka nje ya mji!" Ilikuwa imepasuka mara kadhaa. "Hicho ndicho ninachojaribu kufanya." "Ninachomaanisha ni kwamba huwezi kufanya hivyo!" "Kwa nini si?" "Hakuna mtu mwingine aliyeweza kurekebisha macho yangu, zaidi ya miwani." "Nina uwezo wa kutosha. Utaona, umepewa..." “… Sikumwambia mtu yeyote kuhusu wewe?" "Huo ndio moyo wake, huo ndio nub." "Ninawezaje kujua kuwa huwezi kunipofusha? Unaweza kuwa kama mmoja wa wale wauzaji wa simu wanaotoa ahadi lakini wanasema uwongo kabisa." Ilianza kukatika, ikiondoka tena. "Singemfanyia kitu kama hicho kiumbe ambaye hajanidhuru." "Nikikudhuru kama ningekudhuru, unaweza kunifanya niwe kipofu?" "Hiyo ni kwa msingi wa haja ya kujua." "Na kama wewe kurekebisha macho yangu, na mimi si kuwaambia mtu yeyote kuhusu wewe, wewe utakuwa kuondoka mashamba yetu?" "Huo ndio moyo wa hili!" [...] | Entry #37991 — Discuss 0 — Variant: Tanzaniantanzswa
Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
3 | 0 | 1 x2 | 1 x1 |
| [...] "Nina pendekezo." Ilisogea mbele kama rafiki yangu April anapotaka kusema siri, ingawa hakuna siri yake yoyote nzuri. Au hata siri za kweli. "Ikiwa hautamwambia mtu yeyote kuwa niko hapa, naweza kurekebisha macho yako." “Ondoka mjini!” Iliangaza mara kadhaa. "Hicho ndicho ninachojaribu kufanya." "Ninachomaanisha ni kwamba huwezi kufanya hivyo!" "Kwa nini isiwe hivyo?" "Kweli, hakuna mtu mwingine ambaye ameweza kuweka macho yangu, zaidi ya miwani." "Nina uwezo fulani. Utaona, mradi tu…” "...Simwambii mtu yeyote kuhusu wewe?" "Huo ndio moyo wake, ndio nub." “Nitajuaje kuwa hutanipofusha? Unaweza kuwa kama mmoja wa wauzaji wa simu wanaotoa ahadi lakini unadanganya kabisa. Ilianza kung'aa, ikatoka tena. "Nisingefanya kitu kama hicho kwa kiumbe ambaye hajanidhuru." "Ina maana nikikudhuru, unaweza kunifanya niwe kipofu?" "Hiyo ni kwa msingi wa hitaji la kujua." "Na kama ukinikazia macho, na nisimwambie mtu yeyote kukuhusu, utaondoka kwenye mashamba yetu?" "Huo ndio moyo wake!" [...] | Entry #37610 — Discuss 0 — Variant: Not specifiednone
Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
2 | 0 | 1 x2 | 0 |
| "Nina pendekezo." Ilinisogelea kwa karibu kama rafiki angu April afanyavyo pindi anapotaka kuniambia siri, japo kuwa siri zake hazinaga mashiko. Na huwa sio siri hata. _" kama hutomwambia mtu niko hapa, nita kuponya macho yako." "Toka kwenye huu mji!" Kikapepesa macho mara kadhaa, "hicho ndio nacho jaribu kufanya." "Ninacho maanisha ni kwamba huwezi kufanya hivyo." "Kwanini haiwezekani?" "Kwanza, hakuna mtu ameweza kuponya macho yangu , pasina miwani." "Mimi ninauwezo wakipekee, nitakuonyesha kama tu..." "....Nisipo mwambia mtu yoyote kuhusu wewe." "Hilo ndilo sharti la muhimu zaidi ,hicho ndo kiini." "Nitajuaje kama huto nipofua ?" Unaweza kuwa miongoni mwa hao matapeli wanaotoa ahadi za uwongo." Kiliendelea kusisitiza . "Sito weza kufanya kitu kama hicho kwa kiumbe ambaye hajanidhuru kwa lolote." "Unamaanisha kama ningekudhuru ungenifanya niwe kipofu?" "Hilo siwezi kusema kwa sasa" "Na ukiyaponya macho yangu, na nisipomwambia mtu yoyote kuhusu wewe, utaondoka katika eneo letu." "Hilo nakuhakikishia." | Entry #37736 — Discuss 0 — Variant: Not specifiednone
Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
0 | 0 | 0 | 0 |
| [...] “Nina pendekezo.” Ilisongea mbele kama rafiki yangu April anavyofanya anapotaka kusema siri, ingawa hakuna siri yake ni nzuri. Au hata siri za kweli. “Usipomwambia mtu yeyote nipo hapa, Naweza kurekebisha macho yako.” “Toka nje ya mji!” Iliangaza mara kadhaa. “Hicho ndicho ninachojaribu kufanya.” “Ninachomaanisha ni kwamba huwezi kufanya hivyo!” “Mbona sivyo?” “Vizuri, hakuna mtu mwingine ambaye ameweza kurekebisha macho yangu, kando na miwani.” “Nina uwezo fulani. Utaona, ingawa…” “…Simwambii mtu yeyote kukuhusu?” “Huo ndio moyo wake, ndio nub.” “Nitajuaje hutanipofusha? Unaweza kuwa kama mmoja wa wauzaji wa simu wanaotoa ahadi lakini waongo kabisa.” Ilianza 'waxing on, waxing off ' tena. “Nisingefanya kitu kama hicho kwa kiumbe ambacho hakijanidhuru.” “Kumaanisha ingekuwa nimekudhuru, unaweza kunifanya niwe kipofu?” “Hiyo ni kwa msingi wa hitaji la kujua.” “Na kama utarekebisha macho yangu, na simwambii mtu yeyote kuhusu wewe, utatoka kwa uwaja wetu?” “Huo ndio moyo wake!” [...] | Entry #37793 — Discuss 0 — Variant: Kenyankenyswa
Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
0 | 0 | 0 | 0 |
| | | | | X Sign in to your ProZ.com account... | | | | | | ProZ.com translation contestsProZ.com translation contests offer a fun way to take a break from your normal routine while testing and honing your skills with fellow translators.
ProZ.com Translation Contests. Patent pending. |